Man shares thoughts by a river at night with city skyline and bridge in background

Unspecified · Short-form video

About this work

A man stands by a rocky shore at night, speaking to the camera. A city skyline and illuminated bridge are visible in the background across a body of water. The man gestures as he speaks, and the camera occasionally shifts focus or zooms slightly. The video captures a conversational and reflective moment.

Read the transcript

Hivi kwa nini Marekani hawajaji mademu wazuri? Ni sawa. Kama kawa. Mimi mama, Black Sigga. Kama King Dragon himself. Mwana New Yorker. Yeah. Ma New Yorker mabegani. Mimi nawabijaje? Kufika huku mpaka ule na nyoka. Kama hujalala na nyoka, ndugu yangu hauwezi kufika. Lifestyle fulani ambao kila mtu anatamani. Mimi nawambuje? Ninyi mtaniunonia sana. Wiwu, mtaniunonia mimi mshamba limbukeni sawa. Mimi nilimbukeni mshamba. Kwa sababu nimekuja maeneo ambayo wewe unapatamani hukuma make. Wewe utaniambia nini? Mimi tayari hapa chini. Kwanza umeona kwanza nilidrip. Kwanza umeona kwanza nilidrip. Wewe unafikiri mshahara wa miezi yako mingapi? Miezi yako mitano hukuma make. Wewe unafikiri ni bei gani? Wewe unafikiri ni bei gani? Lakini natamba hapa, ngoje niwaambie. Hapa hivi panaitwa Brooklyn Bridge Park au unaweza ikaitwa Fulton Park. Ni sehemu fulani amazing kabisa. Kama unavyoona hii hapa ni Hudson River. Hudson River kwa kule mbele hivi ni East River. Kama unavyoona. Kwa hiyo huku tuko upande wa Brooklyn kama unavyoona. Unyama ni mwingi kabisa. Sawa poh babake. Mimi nawambuje? Alafu kwa nini Marekani? Kwa nini wakana demu mzuri?

Created by

Mabrouk Kahawa

Work with Mabrouk